Read More »
Read More »
Show
ya kihistoria inayosubiriwa na wengi kufanyika ndani ya viwanja vya
Leaders jijini Dar es salaam leo, tayari jukwaa litakalotumiwa na
wasanii wanne kutoka hapa nyumbani na wale wakali wa kulishambulia
jukwaa barani Afrika P~Square lipo katika maandalizi ya mwisho mwisho
pamoja na kufunga mziki.
Jukwaa lina sehemu tatu za kupandia juu yaani ngazi na vijukwaa vidogo viwili kama winchi vilivyopo katikati ya stage. Limefungwa sound yenye mjumuiko wa spika zaidi ya sitini.
Jukwaa lina sehemu tatu za kupandia juu yaani ngazi na vijukwaa vidogo viwili kama winchi vilivyopo katikati ya stage. Limefungwa sound yenye mjumuiko wa spika zaidi ya sitini.
Wasanii
watakao-perform jukwaa moja na P` Square ni Malkia wa Bongo fleva mwenye
miaka kumi na tatu kwenye gemu Lady Jay Dee a.k.a Anaconda, King wa
R&B Ben Paul, mwamba wa kaskazini Joh Makini na MC shupavu au Heavy
weight Mc au Daddy Joseph Haule wa Mitulinga Mchawi wa Rhymes.
Read More »
Mume akionesha chupi ya mkewe
Msanii chipukizi wa filamu ambae ni mke wa mtu aliyefahamika kwa jina la Remina Rufyagira" Mwimbe" akificha sura yake kukwepa kamera za mapapalazi.
NAUA: Kijana mwenye mke kushoto akimkaba koo director huyo kwenye purukushani ya fumanizi hilo.
Hapa ofisa wa polisi ambae ilidaiwa toka kitio cha polisi Hananasifu kilichopo Kinondoni akimsimamia msanii huyo kuvaa nguo safari ya kuelekea kituoni.
Mwimbe akiwa haamini kilichotokea huku machozi yakimtoka kwa wingi na kujuta.
Kulia kijana ambae ilidaiwa ni shemeji na Mwimbe akimuuliza maswali shemejie huyo.
NICAS na Mke huyo wa mtu wakielekea kituno huku nyuma wananchi walioshuhudia tukio hilo.
Mwenye mke aliyefahamika kwa jina la Abdula Sanga akiongea na simu kuwajuza familia ya mchumbaake kuhusu tukio hilo.
Mfuko wa kondom uliokutwa umetumiaka .
Akiongea na paparazi wetu mume wa mischana huyo Abdula Sanga alianza kuelezea " Nampenda sana mke wangu na ndio maana nilikuwa nimemruhusu akafanye sanaa lakini baadae niliambiwa na shoga yake kuwa kuwa bosi wake anataka kumla uroda ili amuweke kwenye kava ya cd ya filamu yake na kama hatotoa uroda basi hatomuweka" Alisema kijana huyo ambae ni mfanyabishara.
Abdula Sanga aliendelea kusema baada ya hapo alimuomba huyo rafiki na mkewe ampe ushirikiano ikiwa kumuhabarisha hatua kwa hatua ambapo hadi siku ya tukio alitaarifiwa na wapi wanapokwenda kupeana uroda" Niliandaa askari wangu na tukaweka mtego pale Guest iitwayo Bundo iliyopo Kinondoni Moscow na hatimae mtegowangu ulinasa na kumfuania mke wangu live akiwa na huyo bosi wake wa sanaa" Alisema Sanga kwa jazba.
Aidha habari zilisema Nicas nae ni mume wa mtu, hata hivyo ndani ya chumba hicho kulikutwa na kondomu moja iliyotumika kwa maana kwamba tayari mke huyo alikuwa ameshaliwa kimoja hali iliyoamsha hasira za mume wa mke huyo na kuanza kumvurumushia makonde msanii huyo hadi polisi walipoingilia kati.
Hadi papalazi wetu anaondoka eneo la tukio aliacha wananchi kibao wakishuhudia timbwili hilo huku safari ya kuelekea polisi ikifanyika.
Read More »
Add caption |
HUKU akiwa na majonzi ya kuondokewa na baba yake mzazi, Balozi Isaac Abraham Sepetu aliyefariki dunia Jumapili iliyopita kwa ugonjwa wa kisukari, baadhi ya wasanii wanaounda Klabu ya Bongo Movie (muvi) Unity wanadaiwa kuchekelea kifo hicho na kumsusia msiba mwingizaji mwenzao, Wema Isaac Sepetu.
Habari kutoka chanzo chetu makini zilidai kuwa hoja dhaifu iliyo tumiwa na wahusika hao ni kwamba Wema huwa haendi kwenye misiba ya wenzake hivyo naye amzike baba yake mwenyewe. MFANO; MSIBA WA SAJUKI
Ulitolewa mfano wa msiba wa aliyekuwa staa wa filamu za Kibongo, Juma Kilowoko ‘Sajuki’ aliyefariki dunia Januari 2, mwaka huu ambapo Wema alidaiwa alishindwa kufika kwa sababu alikuwa studio akirekodi wimbo wake mpya ambao haujatoka hadi leo.
Wapo waliokwenda mbele zaidi na kudai kuwa hata ukifunua madaftari yao wanapopatwa na misiba huwezi kukuta jina la Wema akiwa amesaini wala kufika.
SHARO, KANUMBA “Kwa njia moja au nyingine, Wema bwana huwa hashiriki sana katika misiba ya wasanii wenzake, kuna mtu muhimu sana na ana sauti pale Bongo Movie amesema kuwa katika misiba iliyotokea ameshiriki misiba miwili tu, wa marehemu Sharo Milionea (Hussein Mkieti) na (Steven) Kanumba kwa sababu alikuwa mtu wake.
“Wanadai mara nyingi amekuwa akijitenga na misiba ya wenzake na wala huwa hatoi hata pole kwa wafiwa kama wafanyavyo wengine wanaposhindwa kufika msibani kutokana na sababu mbalimbali hasa za kimajukumu au kuwa safarini,” kilisema chanzo hicho na kuongeza:
“Kuna habari za chinichini kuwa walikaa kikao na kukubaliana kutohudhuria msiba wa Wema. Ilitengenezwa meseji ikatumwa kwa memba wote.”
Chanzo hicho kiliendelea kudai kuwa kiongozi wa kundi hilo (jina tunalihifadhi kwa sasa) ndiye aliyekuwa mwenyekiti wa uhamasishaji watu wasiende msibani kwa kigezo cha Wema kutojumuika na watu wengine katika matatizo yao.
WEMA ANASEMAJE?
Akizungumzia ishu hiyo ya kususiwa msiba wa baba yake Wema alisema: “Nimesikitishwa na kitendo hicho. Nahisi siyo sahihi kwa kuwa nimekuwa nikihudhuria misiba ya watu mbalimbali.
“Hawakuwa sahihi kunifanyia hivyo katika kipindi hiki kigumu, hata hivyo, wangekuja kwanza tumzike baba ndiyo nijifunze ila kutokuja kwao hakujanipunguzia chochote.” Kitendo hicho kilitafsiriwa kuwa ni kama kumuongezea machozi mara mbili kwani tayari alikuwa na chozi la kuondokewa na baba yake kipenzi na la pili likawa ni kususiwa msiba.
Baada ya habari hizo kujaa tele, wanahabari wetu walizungumza na baadhi ya mastaa wanaounda Bongo Muvi juu ya kumsusia msiba Wema ambapo kila mmoja alikuwa na utetezi wake;
Ray: Mh! Kweli Wema haendagi kwenye misiba ya watu hata mimi sikumuona kwa Sajuki ingawa sijui kama alionekana baadaye ila kwa sasa niko sehemu mbaya nitakupigia baadaye tuongee kwa kirefu.
Halima Yahya ‘Davina’: Sikwenda msibani kwa sababu na-shoot na nina mambo yangu ya kifamilia ila niliambiwa nisiende.
Steve Nyerere: Mi nilifiwa na mwanangu sikumuona Wema, tunaangalia kwenye kumbukumbu za wasanii wanaofariki dunia Wema hajawahi kuonekana. Mi’ naomba wasanii wapendane kikweli siyo kinafiki.
William Mtitu: Niko shooting wiki nzima ila kama Wema hakuonekana kwenye misiba ya watu hasa kwa Sajuki alikuwa anakosea sana. Pia alikosea kwa kuwakandia wasanii kwenye vyombo vya habari, kama walikosea angekaa nao akawaambia.
Kulwa Kikumba ‘Dude’: Nilikwenda msibani kutoa pole kwa sababu wale ni ndugu zangu lakini nilivyofiwa na mama yangu Wema hakuonekana wala hakunipa pole na huwa haonekani kwenye misiba ya wengine kama ilivyotokea kwa Sajuki ingawa mimi siwezi kulipa kisasi.
Kutoka visiwani Zanzibar alikozikwa baba Wema Jumatano iliyopita, ripota wetu alimshuhudia mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ akiungana na wasanii wengine waliokuwa bega kwa bega kumfariji mrembo huyo.
Habari za kina zilidai kwamba kwa kuwa Diamond hakufika kwenye msiba nyumbani kwa akina Wema, Sinza-Mori, Dar ilibidi aungane na mrembo huyo visiwani Zanzibar kwani naye amekuwa akimendewa na kashfa hiyo ya kuhudhuria misiba mikubwa na kupotezea ya watu wa kawaida.
Aidha, wasanii wengine walioamua kwenda msibani bila kujali onyo la kutokwenda ni pamoja na Yobnesh Yusuph ‘Batuli’, Elizerbeth Michael ‘Lulu’, Kajala Masanja, Mahsein Awadhi ‘Dokta Cheni’, Salumu Mchoma ‘Chiki’ na Jaqueline Wolper.
Read More »
YAMETIMIA BAADA YA NDUGU KUMCHULIA SANA KIFO HATIMAYE MUNGU AAMUA KUMCHUKUA MTOTO HUYU
6:42 AM 0 comments
Mwajuma Haji enzi za uhai wake.
INAUMA SANA! Yule mtoto ambaye Amani liliripoti kuwa ndugu wanataka auawe wiki iliyopita, Mwajuma Haji (16), amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar.
Mama mzazi wa Mwajuma akimhudumia mwanaye enzi za uhai wake.
Mwanyuma alikuwa na ugonjwa wa kusinyaa na vipimo vya madaktari
havikuonesha ugonjwa uliokuwa ukimsumbua, ingawa viungo vyake vyote
vilikuwa vimesinyaa na kujikunja tangu alipozaliwa. Kutokana na tatizo
hilo, baadhi ya ndugu walifikia hatua ya kutaka auawe kwa walichodai
alikuwa mzigo kwa familia.Akizungumza na mwandishi wetu kwenye mazishi ya mtoto huyo kijijini kwao Kimange, Wilaya ya Bagamoyo, Tatu alisema mwanaye alizidiwa kwa siku tatu mfululizo huku akiwa anapumulia mashine kabla mauti hayajamkuta. Alisema madaktari walijitahidi kwa hali na mali kuokoa maisha yake lakini ilishindikana kwani alikuwa akipumua kwa shida.
“Mwanangu ameteseka sana dakika za mwisho kwani kwa siku tatu mfulululizo alikuwa akipumulia gesi tu mpaka Mungu alipomchukua,” alisema mama huyo. Katika mazishi ya mtoto huyo, waliokuwa karibu na mama Mwajuma ni majirani zake baada ya ndugu kuingia mitini.
Majirani wa karibu na mama Mwajuma waliliambia Amani kuwa wanasikitishwa na tabia za ndugu zake waliosusia msiba huo na kudai ndiyo tabia yao kwani kipindi Mwajuma alipokuwa hai walikuwa hawamjali hata walipomkuta akinyeshewa mvua hawakumuingiza ndani hadi mama yake alipofika.
“Tabia za ndugu wa mama Mwajuma hazijaanza leo kwani walikuwa wakimtenga sana mtoto huyo kwa kuwa hata walipomkuta ananyeshewa na mvua walikuwa wakimuacha hadi mama yake arudi,” alisema jirani mmoja ambaye hakupenda jina lake liandikwe Mtandaoni.
Read More »
HII NDIO STEJI ATAKAYOKANYAGA MSANII JACO BEATS IKIWA ATAPITA KESHO PALE CLUB SAN SIRO SINZA
4:10 AM 0 commentsTAZAMA PICHA ZA JUKWAA LA FIESTA DAR LINAVYOTENGENEZWA
Read More »
BOSI WAKE MWANAMKE....!! HADI HASIRA UKIFIKILIA...!!
Nime vumilia aibu hii lakini nimeshindwa na hivyo nimeamua niwe muwazi ili niweze kusaidiwa.Sihitaji msaada wa kifedha, bali nahitaji ushauri tu. Ndugu zangu mwenzenu juzi jumamosi nilipatwa na dhahama iliyo pelekea nione aibu kwenda kazini kuendelea na majukumu yangu baada ya kubakwa na mama mke wa mtu. Ilikua jioni bosi aliponipigia simu nakuhitaji msaada wangu wa kumpeleka katika sehemu moja ya starehe . Mimi ni dereva ninaye mwendesha.
Nimefanya kazi kwa muda wa miezi sita sasa lakini hakuwahi kunionyesha dalili yoyote ya kimapenzi kwa kuwa anafahamu mimi ni mume wa mtu na yeye ni mke wa mtu. Mume wake siyo mtu wa kushinda sana nyumbani.Ni mfanyabiashara na mara nyingi huwa nje ya nchi kibiashara. Nyumba yao ina geti kubwa na mlinzi mmoja. Baada ya kumpeleka huko mapumzikoni, saa tano usiku alinipigia simu nikamchukue ili nimrudishe nyumbani. Nilimkuta akiwa amelewa sana, hivyo nikamkokota mpaka ndani ya gari tukaondoka. Nyumbani tulikuta mwanae mdogo na house girl wamelala hivyo akaniomba nimpeleke chumbani kwake kwa madai kwamba alikuwa hawezi kutembea kwa sababu alizidisha pombe. Nilimvuta mpaka chumbani kwake maana sikuwa na jinsi ya kukataa.Cha ajabu nilipomfikisha chumbani yule mama alipata nguvu akafunga mlango. Alisimama pale mlangoni na kuanza kuvua nguo zake.Nilipojaribu kumvuta ili nitoke, yule mama alitishia kupiga kelele.Akanambia nitulie tulale, vinginevyo atapiga kelele kwamba nataka kumbaka. Nikifikiria getini kuna mlinzi na nipo ndani ya chumba cha bosi wangu kiasi kwamba mlinzi akija ni lazima aamini kwamba nilikuwa nataka kumbaka.. Akili ya haraka haraka ilinituma nimkubalie tu, lakini nikakumbuka pia sina hata kipande cha kondom. Mpekuzi naomba niishe hapo maana nashindwa kuendelea kuelezea.Kwa kifupi ni kwamba nilifanya mapenzi na yule mama bila kinga yoyote. Mlinzi alijua kila kitu tulichokifanya maana niliondoka asubuhi.Siwezi kuendelea na kazi tena maana mumewe akirudi ni lazima aambiwe kila kitu.. Kinachoniuma ni kwamba kazi nimeipoteza na huenda afya yangu nayo ikawa imeingia dosari.Tangu juzi sijafanya mapenzi na mke wangu.Nasubiri miezi mitatu ipite ili nikapime. Lakini namwelezaje mke wangu kwa kipindi chote hicho ili anielewe.Na mimi kama mumewe naanzaje kumweleza kwamba nimebakwa? Ndoa yangu itakuwaje? Naomba msaada wa ushauri toka kwenu na kwa wasomaji wenu. Ni mimi Jose.
Read More »
SASA KUMEKUJA KWA MSANII JACO BEATS AAMUE KUSUKA AU KUNYOA KWA HABARI ZAIDI SOMA HAPA
1:23 AM 0 commentsSasa kumekucha ndo kama inavyoonekana kwa msanii Jaco beats a.k.a da toucha anayetamba na nyimbo zake kali kama Kilaza,I say na Penye ubora niende kutua mjini Dare salaam muda wowote kwenda kushiriki lile shindano kubwa la kumtafuta Serengeti fiesta super nyota wa tanzania ambapo atakutana na nyota wengine kumi na tano15 kutoka mikoa tofauti kugombea nafasi tatu za kuelekea kupaform kwenye jukwaa la kihistolia la Fiesta 2013 noma sana ikiwa atafanikiwa atakuwa msanii wa kwanza kutoka Dodoma kupaform jukwaa moja na nyota kadhaa wa kutoka nje ya tanzania mungu ibariki Dodoma mungu mbariki Jaco beats aweze kuiwakilisha Dodoma vyema na anahitaji sana dua za wanadodoma kwa ujumla
Read More »
NA SIMBA KUFANYA MAAJABU....!
Jumapili ya leo imewakutanisha watani wa jadi katika soka kwenye uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, timu za Simba na Yanga.
YANGA 3:3 SIMBA
Saleh "Jembe" kwenye blogu yake anaripiti
kuwa dakika ya 15, Ngassa anaifungia Yanga bao baada ya kuiwahi krosi
ya Kavumbagu na kuandika bao. Dakika ya 36, Kiiza anaifungia Yanga bao
la pili baada ya beki Shamte kujichanganya mpira wa
kurusha
wa Twite ulioguswa na Kavumbagu kwa kichwa. Dakika ya 45, Kiiza tena
anaifungia Yanga bao la tatu baada ya Kavumbagu kugongeana vizuri na
Niyonzima. Dk 53 Mwombeki anaipatia Simba bao moja baada ya pasi nzuri
ya Tambwe. Dk 57, Owino anaifungia Smba bao la pili baada ya kuunganisha
vizuri mpira wa kona wa Messi wakati mabeki wa Yanga wakimuangalia.
Shaffih Dauda kwenye blogu yake anasema, licha ya Yanga kuongoza, mashabiki watatu wa Yanga wamezimia na kupewa huduma ya kwanza. Kikosi cha timu ya Yanga kinachoanza ni: Barthez, Twite, Luhende, Cannavaro, Yondani, Chuji, Niyonzima, Domayo, Kavumbagu, Ngassa, Kiiza.
Subs: Deogratia Munisi, Juma Abdul, Oscar Joshua, Simon Msuva, Rajab Zahir, Jerson tegete, Nizar Khalifan
Wakati kikosi cha Simba kinachoanza ni: Dhaira, Cholo, Shamte, Kaze, Owino, Mkude, Singano, Humud, Mwombeki, Tambwe, Chanongo.
Subs: Abuu Hashim, Hassan Khatir, Issa Rashid, Zahoro Pazi, Amri Kiemba, Said Hamisi, William Lucian.
Awali, timu za vijana za Simba na Yanga, zilimaliza dakika 90 kwa kutoka suluhu ya kufungana bao 1-1 ambapo Yanga ndiyo waliokuwa wa kwanza kupata bao na Simba wakasawazisha dakika tatu kabla ya kwenda mapumziko. Simba vijana wananolewa na kiungo wa zamani, Selemani Matola na Yanga inanolewa na kiungo wa zamani, Salvatory Edward.
Shaffih Dauda kwenye blogu yake anasema, licha ya Yanga kuongoza, mashabiki watatu wa Yanga wamezimia na kupewa huduma ya kwanza. Kikosi cha timu ya Yanga kinachoanza ni: Barthez, Twite, Luhende, Cannavaro, Yondani, Chuji, Niyonzima, Domayo, Kavumbagu, Ngassa, Kiiza.
Subs: Deogratia Munisi, Juma Abdul, Oscar Joshua, Simon Msuva, Rajab Zahir, Jerson tegete, Nizar Khalifan
Wakati kikosi cha Simba kinachoanza ni: Dhaira, Cholo, Shamte, Kaze, Owino, Mkude, Singano, Humud, Mwombeki, Tambwe, Chanongo.
Subs: Abuu Hashim, Hassan Khatir, Issa Rashid, Zahoro Pazi, Amri Kiemba, Said Hamisi, William Lucian.
Awali, timu za vijana za Simba na Yanga, zilimaliza dakika 90 kwa kutoka suluhu ya kufungana bao 1-1 ambapo Yanga ndiyo waliokuwa wa kwanza kupata bao na Simba wakasawazisha dakika tatu kabla ya kwenda mapumziko. Simba vijana wananolewa na kiungo wa zamani, Selemani Matola na Yanga inanolewa na kiungo wa zamani, Salvatory Edward.
Read More »
Si wengi wetu wanaofahamu umuhimu wa kula samaki mara kwa mara na jinsi kitoweo hiki kilivyo na umuhimu wa kipekee katika afya ya binadamu
Samaki ni kitoweo ambacho kinatajwa na hata kupendwa na wengi, binadamu au wanyama.
Kitoweo hiki kinaelezwa kuwa na mafuta yenye kiambata aina ya Omega 3 yanayomfanya binadamu kuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri, kutunza kumbukumbu na kuishi kwa muda mrefu.
Vyakula vyote vinavyozalishwa majini huwa na kiambata aina ya Omega 3 yenye mafuta yanayotakiwa kwa mwili wa binadamu yatokanayo na samaki, yana mbegu maalumu zinazomsaidia binadamu katika ukuaji ambazo pia ni maalumu kwa faida ya mfumo wa ubongo na neva.
Tafiti mbalimbali zinaonyesha kuwa watu wanaoishi maeneo ya pembezoni mwa bahari, maziwa, mito mikubwa wamekuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri, akili nyingi na wamekuwa wakiishi kwa muda mrefu kutokana na kutokuzeeka mapema.
Kwa upande wa Tanzania, watu waliozaliwa na kuishi maeneo ya pembezoni mwa bahari, maziwa, mito ikiwemo kisiwa kama cha Ukerewe na maeneo mengine karibu na maziwa Victoria, Nyasa, Rukwa hata visiwani Zanzibar wamebainika kuwa ni watu wenye akili nyingi na wanaishi kwa muda mrefu ukilinganisha na maeneo mengine ya nchi kitakwimu.
Mkurugenzi wa Kituo cha Huduma ya Ushauri Nasaha, Lishe na Afya, Counselnuth, Mary Materu anadhibitisha kuwapo na virutubisho vingi vinavyopatikana katika kitoweo hiki cha samaki iwapo wataliwa kwa wakati mwafaka mara tu baada ya kuvuliwa.
“Samaki wana kiambata aina ya Omega 3 ambayo husaidia katika ukuaji wa binadamu na kujenga ubongo wake vizuri, ndiyo maana watu wanaoishi katika maeneo yaliyozungukwa na maji mengi ‘bahari, mito au maziwa’ ni watu wenye akili nyingi na watambuzi hata kama hajaenda shule na akienda shule hufanya vyema sana darasani kama ni mtoto, angalia watu wanaotoka ukerewe au sehemu nyinginezo,” anasema Materu.
Materu anafafanua kuwa kinamama wajawazito kwa upande wao wamekuwa wakipewa ushauri kutumia kitoweo hicho wawapo wajawazito na kuepuka nyama nyekundu ambayo hata hivyo ni muhimu kwa mama mjamzito kutumia ili kuongeza damu haraka kwa mjamzito.
“Wajawazito wanapaswa kula samaki kwa wingi ili kukuza ubongo wa mtoto, pia ni lazima wale nyama nyekundu ili kuongeza damu kwa uharaka mwilini ila tunawashauri isizidi nusu kilo kwa siku saba,” anasema Materu na kufafanua umuhimu wa Omega 3 kwa wajawazito.
“Omega 3 humsaidia mtoto kukuza ubongo, kutengeneza retina kwenye mboni ya macho na kutengeneza mfumo wa neva.
Pia, humsaidia mama kuzuia matatizo kama kifafa cha mimba na sonono baada ya kujifungua. Njia kuu ya mtoto kupata Omega 3 ni kutokana na vyakula anavyokula mama yake.
Read More »
Subscribe to:
Posts (Atom)