SASA KUMEKUJA KWA MSANII JACO BEATS AAMUE KUSUKA AU KUNYOA KWA HABARI ZAIDI SOMA HAPA


Sasa kumekucha ndo kama inavyoonekana kwa msanii Jaco beats a.k.a da toucha anayetamba na nyimbo zake kali kama Kilaza,I say na Penye ubora niende kutua mjini Dare salaam muda wowote kwenda kushiriki lile shindano kubwa la kumtafuta Serengeti fiesta super nyota wa tanzania ambapo atakutana na nyota wengine kumi na tano15 kutoka mikoa tofauti kugombea nafasi tatu za kuelekea kupaform kwenye jukwaa la kihistolia la Fiesta 2013 noma sana ikiwa atafanikiwa atakuwa msanii wa kwanza kutoka Dodoma kupaform jukwaa moja na nyota kadhaa wa kutoka nje ya tanzania mungu ibariki Dodoma mungu mbariki Jaco beats aweze kuiwakilisha Dodoma vyema na anahitaji sana dua za wanadodoma kwa ujumla

0 comments: