JE, WEMA SEPETU ATAKUJA NA NINI KIPYA LEO?!

Jumanne, 15 Oktoba 2013

USIKOSE KIPINDI CHAKE "IN MY SHOES" LEO EAST AFRICA TV

Hapo kabla star wa bongo anayeongoza kwa ‘drama’, Wema Sepetu alikuwa akionekana zaidi katika magazeti, na mara kadhaa kupitia matukio mbalimbali katika TV, lakini kuanzia jumanne hii ataanza kuonekana kupitia kipindi chake kipya cha runinga ‘In My Shoes’
kitakachokuwa kinarushwa na kituo cha Television cha EAST AFRICA, kuanzia leo Octoba 15 saa tatu na nusu usiku.

0 comments: