Huyu ndiye mama mzazi wa Mh. Temba ambaye anaishi mkoani Moshi. Picha
imepigwa baada ya wasanii hao (Mh Temba na Chege) kwenda kumtembelea
mama Temba nyumbani kwake huko Moshi wakiwa kwenye ziara ya Serengeti
Fiesta - 2013 ambayo inafanyika mkoa humo.
0 comments: