HII NDIO HABARI YA MJINI, TAZAMA KICHUPA HIKI HAPA

Backamaza the Director, Presents Andre_k ft Slogan_Business_Girl Offcial HD video.

Backamaza the Director, Presents Andre_k ft Slogan_Business_Girl Offcial HD video.
Hii ni miongoni mwa music videoz ambazo zinafanya vizuri mjini,video imefanywa hapahapa Dodoma town na Director anayekuja kwa kasi Tanzania, Erick Backamaza,ma mc kutoka ENO 7,ndio wamesimamia mzigo mzima,Andre k na Slogan,Fanya kutizama na kusaport mziki wa home land usonge mbeleee

0 comments: