MBIO ZA MWENGE WA UHURU ZAMALIZIKA ,MKOA WA IRINGA WAKABIDHI TAIFANI ASUBUHI YA LEO



Mwenge wa uhuru ukiwasili katika uwanja wa kilele cha mbio za mwenge kitaifa uwanja wa Samora ukitokea viwanja vya mkesha Mwembetogwa ambako ulikesha kwa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa

Viongozi wa serikali ya mkoa wa Iringa na wananchi wakisubiri kupokea mwenge kutoka Manispaa ya Iringa leo

Ulinzi mkali uwanja wa samora leo

Mkuu wa mkoa wa Iringa Dr Christine Ishengoma kulia akipokea mwenge kutoka kwa mkuu wa wilaya ya Iringa Dr Leticia Warioba baada ya Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kumaliza mbio hizo kwa kuzindua miradi 8 yenye thamani ya Tsh milioni 940.2

0 comments: