kweli bongo fleva inalipa huu ndiyo mjengo na mkoko wa Mavoko

Sunday, October 13, 2013




Mkali wa bongo fleva, Rich Mavoko ametupia picha ya mjengo wake mpya uliokatika hatua za mwisho kumalizika na kuandika maneno ya kumshukuru mungu kwa kile alichokipata..."thanx God for this Now bongofleva inalipa dah! Pia awashukuru watanzania kwa kumpa support kwa kile anachokifanya..."Japo ipo mbali ila ya kwangu natakiwa niseme hasante kwa watanzia wote.. mana bila nyinyi nisingepata haya mafanyikio"


Pia ametupia picha ya ndinga yake mpya aina ya Nissan March ikiwa haina hata namba za usajiri...."Nashukuru tena kwa hili.. mungu anijalie tena na tena..."


0 comments: