KUELEKEA PAMBANO LA WATANI WA JADI SIKU YA JUMAPILI HUENDA TIMU YA YANGA IKAWAKOSA NYOTA WAKE


Kuelekea homa ya pambano la watani wa jadi jumapili hii huenda timu ya soka ya Yanga ikawakosa wachezaji wake tegemeo Jerry Tegete anayesumbuliwa na Mafua na Mrisho Ngassa aliye kwenye presha ya kufilisika mali zake endapo asipofunga goli katika mechi hiyo huku akiwa ameshaahidi kuchoma nyumba zake moto zisizopungua tano akitunyetisha hayo mtoa habari wetu aliyeko huko visiwani Zanzibar kwamba hali ya wachezaji wengine iko safi na wamewahaidi wapenzi na mashabiki wao kuwa ushindi jumapili ni lazima kwani wana hasira ya kulipa kisasi cha goli tano

0 comments: