HIVI NDIVYO ILIVYOKUA KWENYE MAZISHI YA MAMA WA UFOO SARO HUKO MACHAME
Thursday, October 17, 2013
Mtoto wa mwandishi na mtangazaji wa kituo cha ITV,Ufoo Saro,Alvis Anthery akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza la marehemu Bibi yake Anastazia Saro aliyezuikwa jana katika makaburi ya kanisa la Urara wilayani Hai.
Umati wa waombolezaji waliojitikeza katika kuaga mwili wa marehemu Anastazia Saro aliyezikwa katika makaburi ya kanisa la Urara wilayani Hai.
Msemaji wa familia ya Saro,Allelio Swai akitoa maelezo ya familia wakati wa ibada ya kumuombea marehemu Anastazia Saro.
Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Anastazia Saro likiwekwa kaburini.
0 comments: