HII IMETOKEA DODOMA SIO SIRI TENA, SIKU HIZI UKISHIKWA UMEIBA SUPERMARKET ZA BONGO UNAFANYWA HIVIII!!!!


Tuesday, 15 October 2013


 
mimi ni choriiii Wadada wa mjini, kuna wengine wanajifanya wajuajiii kumbe ni machorii, hebu huyu hapa yaliyomkuta daaah aibu gani hii msichana mrembo unavalia unapendeza, unaenda supermarket kuiba. yote hii ni kutaka mambo makubwa ,hivi mnafikiri zile camera zimewekwa pale kama mapambo? ishi uwezavyo na ukienda supermarket chukua kile mfuko wako unaruhusu lasivyo yatakukuta yaliyomkuta

0 comments: