DIAMOND AWACHARUKIA WAPENZI WAKE AMEWATAKA WAZAE KAMA SI WAONGO
Msanii Diamond
Platnum ambaye kwa sasa anaongoza kwa kuwa na stori katika mitandao
ya jamii kutokana na kuhususishwa na mambo mbalimbali ambayo pengine
yana uharisia
au laa yanatengenezwa kwa makusudio amefunguka na
kusema kuwa Wapenzi wake wamuache aendelee kutafuta pesa maana wote
anaona wanamapenzi ya uongo na kitapeli tu.
0 comments: