TAZAMA PICHA ZA WASANII WAKUBWA DUNIANI, WALIOWAHI KUWA WAPENZI ALAFU WAKATEMANA

WAPENZI ALAFU WAKATEMANA

Nick Cannon na Kim Kardashian



Tupac Shakur na Jada Pinkett
Kati ya zote hawa ndo waliyoniacha hoi!!

Rihanna na Lewis Hamillton aliyekuwa mpenzi wa mda mrefu wa Nicole Schezinger


Eddie Murphy na Toni Braxton 



Tyra Banks na Will Smith


Nilipigwa a butwaa baada ya kugundua kuwa wasanii hawa walikuwa wapenzi hapo awali, unadhani wanamatch? Toa maoni yako hapa...

0 comments: