MAPICHA!!! HIVI NDIVYO WAETHIOPIA 16 NAMNA WALIVYOKAMATWA MKOANI MOROGORO WAKATI WAKIELEKEA MALAWI....TAZAMA MAPICHA HAPA
Sunday, 13 October 2013
Alianza kuchomolewa huyu jamaa katikati
ya mifuko ya chokaa kabla ya wengine nao kuchomola katika tukio la
ukamataji wa lori lililokuwa limewabeba raia wa Ethiopia 16 wakiel
ekea nchi jirani ya Malawi kustukiwa na wasamalia wema eneo la Msamvu kufuatia mmoja wa waethiopia hao kuzidiwa pumzi.
Kitendo hicho cha kuamua kutoka ndani ya
nyuma ya lori hilo ambako walihifadhi wa dereva wa lori na kwenda kukaa
mbele ya lori hilo, hali hiyo ndiyo iliyotibua mambo yote na kuwafanya
wasamalia wema waliokuwa wamekaa jirani kuastushwa na hali hiyo na
kuwatilia shaka na kuanza kulifuatilia kabla ya kumdhibiti dereva na
kufanikiwa kumkata na kupelekwa kituo cha Polisi mkoa wa Morogoro.
Hatua hii ndiyo iliyofuata
Akipokelewa na wasamalia wengine ili asidondoke na kuumia. Kazi ilikuwa hivyo.
0 comments: