LULU MICHAEL ASEMA YA MOYONI INSTAGRAM KUHUSU JOKATE MWEGELO.
Sunday, 13 October 2013
Ikiwa ni kwa wasanii wachache sana wenye mapenzi ya kweli kwa wenzie Lulu Michael aonyesha upendo wa dhati na kumwaga sifa kedekede mwanadada Jokate Mwegelo. Kupitia akaunti yake ya instagram Lulu Michael au Hotlulumichael au Elizabeth Michael aaamua kumwaga yake .
Tazama hapo
0 comments: