KIMENUKA SASA KWA MSANII JACO BEATS ANAHITAJI MAOMBI YA WANA DODOMA KWA WINGI
Kimenuka sasa kwa msanii wa dodoma na mshindi wa serengeti fiesta 2013 amebakiza siku chache aweze kutua jijini Dar esalaam kwa ajili ya lile shindano kubwa la kumsaka mshindi wa serengeti fiesta 2013 kwa Tanzania nzima huko ataungana na wenzie kumi nn 14 watakaochuana vikali kugombea nafasi tatu za kupaform live kwenye jukwaa kuu la SERENGETI FIESTA 2013 pale viwanja vya leadars club kinondoni na msanii Jaco Beats ameaahidi kufanya makubwa kwa ajili ya wana dodoma na ameahidi kuwaletea ushindi wana dodoma na kuendeleza moto ulioachwa na wasanii waliomtangulia kutoka dodoma kama kina Bushoke,Mez b,Albert mangwea,Ay,Msabaha,Noorah,D.l.f,Mazichi,Waziri salumu na wengine wengi matumaini yake yako mikononi mwenu wana dodoma anaomba sana dua zenu.
0 comments: