HII NDIO PICHA YA TUKIO LA MWANAMKE ALIYEAMUA KUUKATA UUME WA MWANAUME ALIYETAKA KUMBAKA...
Hii ni stori fupi ya mwanaume aliyekatwa uume wake na mwanamke ambaye alimwingilia kwa lengo la kumbakaTaarifa toka eneo la tukio nchini Kenya zinaarifu kuwa mbakaji huyo alimvamia mwanamke huyu majira ya saa nane usiku kwa kuvunja dirisha na kisha kuingia ndani huku akiwa amejihami kwa kisu kikali...Alipoingia ndani, alimvaa mwanamke huyu ambaye ni mke wa mtu ( mumewe alikuwa safarini ) na kuanza kumkaba kwa lengo la kufanya naye mapenzi huku akimtishia kumchoma kisu endapo atapiga kelele...
Mwanamke hakuwa na jinsi, ilibidi akubaliane naye ili kuunusuru uhai wake.Wangali wakiwa katika tendo huku jamaa akiwa amenogewa, yule mwanamke alimgeuza kwa ujasiri na kufanikiwa kuviminya VIAZI MVINGO VYA MWANAUME...
Baada ya kuviminya viazi mviringo ( Korodani ), yule kaka hakuwa na jinsi na ndipo mwanamke yule alipoitumia nafasi ile kuikata MAMBO (Mhugo ) ya jamaa
0 comments: