HATIMAYE YULE JAMAA ALIYEKUA AKITAFUTWA KWA MAUAJI YA KIJANA WA KITANZANIA APATIKANA SOMA ZAIDI
Hatimaye mtuhumiwa wa mauaji ya ndugu yake Dully Sykes, Omar Sykes aliyeuawa huko Washington DC akamatwa! Marekani!
Eneo la tukio Washington DC ambapo Omar Sykes (picha ya ndani) aliuawa. Photo Credits National Review Online |
kidogo ya maeneo ya chuo hicho alipokuwa pamoja na mwenzake. Wakiwa mtaa mmoja toka chuoni, wanafunzi hao walivamiwa na watu wenye silaha waliotaka kuwapora, na katika harakati hizo, Omar alipigwa risasi kifuani na kufariki.
0 comments: