DAR YOUNG AFRICAN KUGOMEA KUINGIZA TIMU UWANJANI DHIDI YA SIMBA IKIWA KWA HABARI ZAIDI SOMA HAPA


Habari kutoka visiwani Zanzibar ambako mabingwa wa Tanzania bara Dar Young African wameweka kambi kwa ajili ya kujiwinda na mechi ya ligi kuu ya Vodacom mzunguko wa kwanza wamesema hawatoerjesha timu uwanjani kipindi cha pili endapo watakwenda mpaka mapumziko bila kumtandika mtani wake Simba sc goli tatu mpaka wanakwenda mapumziko mtonyesha habari wetu aliyeko Zanzibar aliyefanikiwa kupenya mpaka ndani ya kambi ya mabingwa hao alisema amezungumza na kiongozi mmoja wapo kati wa wale wa benchi la ufundi ambaye hakutaka kutaja jina lake kwa kusema yeye siye msemaji wa timu akitamka maneno hayo bila woga na kuongeza kuwa silaha zao zote ziko kamili kwa ajili ya mchezo wa jumapili hapo uwanja wa taifa na kusahau kuwa mpira ni dakika 90 hebu tungojee tuone ahadi ya kiongozi huyo itatimia hapo jumapili

0 comments: